Mchezaji wa Kindege Apata Zawadi Kubwa ya TZs 20,000,000!

Richard Ogada, kutoka wilaya ya Rorya mkoani Mara nchini Tanzania, amejishindia shilingi milioni 20 kwa kucheza mchezo wa Aviator kwenye kampuni ya Parimatch, jukwaa la kubeti mtandaoni. Hadithi yake ni mfano mzuri wa bahati isiyotarajiwa.
 
DODOMA, Tanzania - July 15, 2024 - PRLog -- Kutoka Bila Hela Mpaka Kuwa Mshindi: Ushindi Mkubwa wa Richard

Richard Ogada, kutoka wilaya ya Rorya mkoani Mara nchini Tanzania, amejishindia shilingi milioni 20 kwa kucheza mchezo wa Aviator kwenye kampuni ya Parimatch, jukwaa la kubeti mtandaoni. Hadithi yake ni mfano mzuri wa bahati isiyotarajiwa.

"Nilipouona mchezo wa Aviator kwa mara ya kwanza, nilidhani umeundwa kutuchania mikeka na pesa zetu, lakini sivyo ilivyo. Nilicheza mara moja tu na kubahatika kushinda shilingi milioni 20," Richard alisema. Hapo awali alitilia shaka mchezo huo lakini haraka akabadilisha mawazo yake wakati shilingi 5,000 zake kwenye mchezo zilipogeuka kuwa ushindi mkubwa.

Richard anakumbuka vizuri wakati aliposhinda. "Nilifurahi sana. Ilikuwa karibia saa 2 usiku niliposhinda, na sikuweza kulala mpaka asubuhi kwa sababu ya furaha," alisema. Ushindi huo ulimshangaza sana.

Mara baada ya kushinda, Richard alifurahi kushirikisha wengine habari hiyo. Alionesha ujumbe kuthibitisha ushindi wake kwa marafiki zake ambao nao walishangaa sana. "Waliniamini mara tu walipoona ujumbe," alisema, akionesha ushindi wake.

Kwa Richard, pesa hizi ni zaidi ya bahati tu; ni njia ya kuboresha maisha yake na kuisaidia familia yake. "Fedha hizi zitanisaidia kukuza biashara yangu na kunisaidia kwenye elimu ya watoto wangu," alisema.

Kuwatia Moyo Wengine: Ujumbe wa Richard kwa Wachezaji Wenzake

Richard amekuwa akicheza na Parimatch (https://parimatch.co.tz/blog/sw/ushindi-mnono-wa-aviator/) kwa takriban mwaka mmoja sasa. Ingawa amefurahia odds na bonasi zao za juu, huu ni ushindi wake mkubwa wa kwanza. "Ninaipenda Parimatch kwa sababu odds zao huwa juu sana kila ninapobeti, na wanatoa ofa nyingi sana. Ndiyo maana nimeendelea kucheza kwao," alielezea.

Ushindi huu umeimarisha imani yake kwenye odds za michezo ya kubahatisha mtandaoni. "Ninataka niwaambie Watanzania wenzangu kiwa michezo hii ni ya kweli, na watu wanashinda. Nimebashiri kwa shilingi 5,000 tu na kushinda milioni 20 kwenye Aviator. Hivyo, ninawahimiza vijana wenzangu kucheza Parimatch Aviator - kushinda inawezekana," Richard alisisitiza, akitumaini kuwatia moyo wengine kupitia mafanikio yake.

Hadithi ya Richard Ogada inaonesha kuwa mtu yeyote anaweza kupata mafanikio ya kushangaza kwenye michezo ya kubahatisha mtandaoni. Ushindi wake unatoa matumaini kwa wengi, ikionesha kuwa kuna bahati nzuri na jukwaa sahihi la kubetia, fursa za kubadilisha maisha ni mikeka tu.

Image (https://parimatch.co.tz/blog/wp-content/uploads/Aviator-w...)

Contact
Parimatch
***@pmi.bet
End
Source: » Follow
Email:***@pmi.bet
Tags:Aviator
Industry:Games
Location:Dodoma - Tanzania - Tanzania
Account Email Address Verified     Account Phone Number Verified     Disclaimer     Report Abuse



Like PRLog?
9K2K1K
Click to Share